K NEWS

Mwanamke Ajiua Baada ya Video Kuvuja Kwenye Kashfa ya Waziri – Baltasar Ebang Engonga

Mwanamke Ajiua Baada ya Video Kuvuja Kwenye Kashfa ya Waziri - Baltasar Ebang Engonga

Mmoja wa wanawake katika kashfa ya ngono nchini Equatorial Guinea anadaiwa kujiua baada ya kuona video zake zinazovuma kila mahali akiwa anafanya ngono na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea (ANIF) Baltasar Ebang Engonga.

Mwanamke Ajiua Baada ya Video Kuvuja Kwenye Kashfa ya Waziri - Baltasar Ebang Engonga
Mwanamke Ajiua Baada ya Video Kuvuja Kwenye Kashfa ya Waziri – Baltasar Ebang Engonga

Moja wa wanawake katika kashfa ya $ê* ya waziri wa Equatorial Guinea anadaiwa kujiua baada ya kuona video zake zinazovuma kila mahali. Ni mke wa kiongozi mkubwa.

Rest in peace

#kichwahitsUPDATES

Leave a Comment