LYRICS

Mocco Genius – Mar Gaya Lyrics

MP3 DOWNLOAD Mocco Genius – Mar Gaya
Mocco Genius – Mar Gaya Lyrics

“Mar Gaya” is a song produced by Mocco Genius. The title and specific details about the song may not be widely known, so it would be helpful if you could provide more context or clarify if you are looking for specific information about this track or its artists.

SIMILAR: Nandy Ft Billnass – Totorimi

Mar Gaya Lyrics by Mocco Genius

Mpenzi wako alikuambia basi
Au nawe kama Mimi tu
Niliona uwa jeusi status
Nikasikia tu amapata Mwingine
Mbaba wake Mwingine
Anapendwa

Sijui niliachwa kisa kitu gani
Nimeona kapost Insta ghafla Yani
Moyo umetoboka wavuja Damu
Mbona yananiliza ya wanadamu

Mar gaya
pyaar mar gaya,
mere paas koee nahin hai pyaar mar gaya

Mmmh
Mar gaya
pyaar mar gaya,
mere paas koee nahin hai pyaar mar gaya

Oo oo ooh
Vibaya
Tuliachana Vibaya
Nasikia nae ana Mwingine
Sawa Sio mbaya

Instrument Playing

Moujaa

Yani sijui kusoma hata picha Sio
Sikusoma Cuba sikuzijua code
Ila dalili zilinigongea hodi zilikuja mwanzo
Tena usishike simu ya mpenzi maana ziliniponza
Nikakuta katumiwa text Jana ulinikosha
Tena penzi lako Tamu halinitoki kichwani
Mpenzi wangu akajibu nami nimekumis honey
Ooooh

Mar gaya
pyaar mar gaya,
mere paas koee nahin hai pyaar mar gaya

Mmmh
Mar gaya
pyaar mar gaya,
mere paas koee nahin hai pyaar mar gaya

Oo oo ooh
Vibaya
Tuliachana Vibaya
Nasikia nae ana Mwingine
Sawa Sio mbaya

(Vibaya
Tuliachana Vibaya
Nasikia nae ana Mwingine
Sawa Sio mbaya)

Mocco Genius – Mar Gaya Mp3 Download

Chek More Related Songs;

Leave a Comment