Mmoja wa wanawake katika kashfa ya ngono nchini Equatorial Guinea anadaiwa kujiua baada ya kuona video zake zinazovuma kila mahali akiwa anafanya ngono na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha la Equatorial Guinea (ANIF) Baltasar Ebang Engonga.
Moja wa wanawake katika kashfa ya $ê* ya waziri wa Equatorial Guinea anadaiwa kujiua baada ya kuona video zake zinazovuma kila mahali. Ni mke wa kiongozi mkubwa.
Rest in peace
#kichwahitsUPDATES